SIMBA SC YAIFWATA WYDAD CASABLANCA MORROCO

Kikosi cha Simba SC kimeanza safari leo ya kuelekea Morocco kuifuata Wydad Athletic Club kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. 





Mchezo huo wa marudiano Simba SC Akiwepo Ugenini katika ardhi ya WYDAD CASABLANCA Mechi utachezwa usiku wa Ijumaa ya Aprili 28, 2023.


#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika #SimbaSC

Comments