SIMBA SC WAANZA SAFARI KURUDI TANZANIA BAADA YA KUFUNGWA NA WYDAD CASABLANCA

 🚨FULL Kikosi cha Simba SC kimeanza safari leo ya kurudi nyumbani Tanzania 🇹🇿 kikitokea nchini MOROCCO baada ya siku ya Jana kufungwa na WYDAD CASABLANCA katika harakati za kusaka TIKETI ya kwenda hatua ya Nusu Fainali ya michuano Ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CHAMPIONS LEAGUE).


🗣️Simba ilipoteza nafasi ya Kwenda Nusu Fainali CAF champions league kwa kukosa Mikwaju ya Penati (4-3) baada ya kumalizika kwa Dakika 90 na zile 4 za Nyongeza WYDAD wakipata Goli 1-0 na kufanya AGREGATE kuwa ( 1-1) na kulazimika kwenda Kwenye Mikwaju ya Penati.

🙆‍♂️Penati kwa Upande wa WYDAD CASABLANCA walipata zote huku kwa Simba walipata Penati 3 ambapo SHOMARI KAPOMBE na CLATOUS CHAMA wakikosa Penati Mbili.


FT’: Wydad 1-0 Simba (Agg: 1-1, Pen:  4-3)


@simbasctanzania @ahmedally_ #CAFChampionsLeague #CAFCL #CCL #SimbaMorocco #SSC #SimbaSC #WydadAC #WydadSimba@emanuelsimon10 @officialpriscakishamba @mashwishwi_tz @auclandmudu_ 


Cc | @OFFICIAL_MUTRA_MSANUAJI ✍️

Comments